Archive for the 'Uncategorized' Category
Kuna manunguniko kuwa waziri wa mambo ya nje Bernard Membe ana mkonp katyi akufungwa kwa Jambo Forums. Je hili lina ukweli kwa kiasi gani?
Kuna watu wanasema kuwa waziri huyu ambaye ana sifa za hasira amekuwa akilalama jinsi gani alivyohusishwa na maneno ambayo hatuna ukweli nayo kuwa anagombania tenda ya vitambulisho vya Taifa [...]
Members wawili wa JAMBO FORUMS wamekamatwa sasa chukueni nafasi hii kuuelezea ulimwengu jinsi jani serikali yetu inavyo wanyima watu uhuru wa kujieleza hapa:
Shukurani za dhati kwa Mwanakiiji na Michuzi blog
KUTOKANA NA MWANAKIJIJI…..
Habari ambazo zinazidi kutiririka kuifikia KLH News zinaonesha kuwa vijana waliowekwa kizuizini kwa karibu masaa 24 wanadaiwa kuhusika na mambo mengi ambayo mlolongo wake [...]