Tunakaribisha wakimbizi wote wa JAMBO FORUM na websites mbali mbali za watzania. Hapa ni nyumbani kwenu na msiogope hata kidogo. Mafisadi watajwe na kwa kuwa nia yetu sio kupinga kila kitu serikali inakifanya lakini hatutosita kuoikosoa serikali pamoja na wapinzani wetu ambao wanaongoza kwa kuachia hali iendelee kuwa ilivyo.
Sisi wazalendo hatuna imani na wapinzani kama vile tulivyoishiwa na imani na serikali. Kwenye blog hii hatuna moderation kwa hiyo sisi wenyewe tutakuwa viranja kwani tuna imani sisi ni swatarabu kuliko hao ambao hawataki tuseme.
kama kuna mtu ana habari nyeti basi asisite kutuma email hapa:
wazalendo08@googlemail.com
-WAZALENDO WA TANZANIA
No Comments Yet